Prof Kabudi: Mkoa wa Singida una Mahusiano ya karibu na Zanzibar na Oman, Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba!

Kubwa la machawa katika ubora wake, hv huyu kenge tangu akili zile tilioni 400 ilikuwa kanyaboya, na kusema yeye katoka jalajalani, bado anaona ana maana yoyote mbele ya wa Tanzania, hapo linawaza jinsi litakavyoingia bungeni, ama kwa kuteuliwa au la,so pathetic, ukiwa na msomi mzuri ambae anaona kitu pekee kwake ni kuteuliwa kuwa mbunge!
 
Niliposikia tu hili jina nikawahi kufungua uzi nikadhani mgao wa Noah zetu tayari, kumbe sisi tuna undugu na Oman basi sawa🙌🙌🙌
 
Kwa hiyo Kabudi alisafirishwa kwenda kuongea tu huo ujinga?
 
Hatimaye Prof. kawa multi-sectoral.... kutoka kuwa mwanasheria nasasa ni mwanahistoria.Leo yeye ni wa Singida,na vilevile kaongelea hadi Oman,hakika anaona mbali huyu.
Huwez kuwa na elimu na kama unayo ni ya makaratasi. Kuwa profesa kunazuia vipi kuwa na historia interest. Kwan hujajua kuwa wanasayans wabobez waliogundua unachojifunza shulen walikua mult talent.mfano galileo galilei alikua mwanafizikia,mnajimu,mpiga piano mshairi ,waliogungudua mahesab wakina al khwarizm(algorithim) wameandika vitabu katika fani za mashairi,astrology, fizikia,mathematics,tiba na n.k.n
K sasa cha ajabu gani kabud kuijua historia? So ulitaka asome sheria tu kama sheria hana hobby? Unapaswa uijue historia hata ya ukoo wako ili kusud ujue unapotoka na unapokwenda.
Alichokisema.prof Palamagamba ni hobby yake mana nimeshamskia sana akiongea kuhusu malikale historia.unashangaa nin sasa historia ipo waz biashara wanayoita slave trade route inaanzia huko kigoma inapita mikoa mingap tabora,singida iringa mpaka bagamoyo to zanzibar
Hii njia watoto wetu wanaijua.? Ime documentiwa? Unaijua? Dah nimeskitika sana
 
Mna chuk mpaka mkisikia hstoria fulan unajaribu kuikataa.sasa Oman cha ajabu nin iili hali na yeye aliitawala nchi hii miaka elfu kabla hajaja hata huyo mzungu.
 
Prof Kabudi ni mtu mwongo sana. Ila heshima yake yote aliyoijenga aliiharibu alipoanza KUKUABUDU Magufuli. Kuna siku akiwa kwenye jukwaa kwakati wa hotuba alimuita "mheshimiwa mungu".

Ndiyo nikaamini kuwa Kabudi ni TAKATAKA tu, mahali pake ni JALALANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…