Ufisadi ni kila uharibifu, zinaa ni katika mafisada, wizi ni katika mafisada..
Ufisadi waweza kuwa material things au pia spiritul things, eg kuabudu miti, wanyama, na mizimu ni katika ufisadi pia.
Hapa naongelea etymology ya neno المفسدة/ kwa waarabu hukusudia hivyo.
Amma kwa waswahili huenda wamelipunguzia matumizi yake, na hii ni athari ya kutohoa maneno kwa kuingiza au kutokuingiza visawe katika lugha lengwa.