johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,619
Nikiwaangalia Wanasiasa hawa Wawili Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa na Mwanamuziki wa Dunia hii Prof Jay najifunza Kitu kikubwa sana
Prof Jay alitibiwa na mwenyekiti wa CCM lakini namuona Kilosa Kwa DC Shaka akikifanyia kampeni Chama chake Cha Chadema
Mchungaji Msigwa alipoteza uenyekiti wa Kanda kwenye Uchaguzi halali na Sasa anaiona Chadema iliyomkuza kisiasa kama kinyesi
Binafsi namuona Prof Jay kama mwanademokrasia aliyekomaa sana na atakuwa Mshauri Mzuri sana wa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
Yesu Kristo alisema siyo kila aniitaye Bwana Bwana atauingia Ufalme wa Mbinguni
Jumaa Mubarak 😀