Prof. Jay amnyima usingizi Abdusalama Amer jimbo la Mikumi

Prof. Jay amnyima usingizi Abdusalama Amer jimbo la Mikumi

muziki wa hip up wapi na wapi na ccm sioni ajabu wana hip up wanaoimba muziki wa kianaharakati kuipenda chadema na sishangai waimba taarabu, wabanapua kama diamond na waigizaji wenzake wauza unga kushabikia ccm

Sure mkuu hip hop artist,ukisikiliza nyimbo zao ni za kiharakat huwa wanasoma sana jamaa, that's y mm siwasikilizi wabana pua
 
Back
Top Bottom