Prof. Jay amnyima usingizi Abdusalama Amer jimbo la Mikumi

Prof. Jay amnyima usingizi Abdusalama Amer jimbo la Mikumi

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
235
Reaction score
1,275
Kutokana hali isio ya kawaida wananchi wa jimbo la Mikumi wamemupokea shangwe msanii wa Bongo flavour na mmoja wapo wa wanaharakati wa mwanzo alifanya mziki huo kuonekana kwa wanajamii kuwa sio mziki wa kihuni Joseph Haule (Prof Jay) maamuzi yake ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (chadema)

Wananchi hao wakizungumuza katika moja ya mkutano wake wanasema hawapo tayari tena kuichagua ccm na mbunge wake Abdusalama Amer wamesema ni heshima kubwa kwa msanii huyo kugombea jimbo kwani angeweza kugombea jimbo lolote nchini na angeweza kupata lakini kwa kutambua umhimu wa kuwatumikia watu wa Mikumi na kuambua kuwatumikia wamesema watamuunga mkono msanii huyo mwenye heshima kubwa inchini
 
ccm_changia_prof_jay_A5-214x300.jpg
 
Sana Prof Jizze umeonesha kipaji toka siku nyingi
 
Prof nataman nikuone ukiwa bungeni! chama na itikadi zako mnaendana, ule wimbo wako wa ndio mzee unakutambulisha umahiri wako kwenye tasnia ya siasa! all the best kamanda
 
"Ni m4c na makamanda,wa chadeeema....mpaka kieleweke....mpaka kielewekeee"......Sugu ft prof Jay
 
Amka mtanzania ni muda wa badiliko, mafisadi wamesanda.
 
Huyo aendelee na mziki wake jimbo la mikumi halijui pale tunataka watu makini wanaojua shida zetu

Wee nenda zako huko udzungwa, kapambane na majembe ya kilombero. Mikumi tuache wenyewe usijipendekeze pendekeze huku tutakupiga kitu bureee!
 
Back
Top Bottom