johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Angejiunga na UchungajiHarrison anaforce kuijua sanaa bahati mbaya hajafanikiwa kuijua sanaa ila sanaa imefanikiwa kumjua yeye ndo maana inamfinika!
Ana certificate ya UANDISHIIMtu ana taaluma ya sheria unampa wizara ya michezo then utegemee maendeleo
Mshika mawili?Ana certificate ya UANDISHII
Hii stori ya clouds ilibalance??Je walimhoji mwakyembe kuhusu kauli yake?Wamesema Mwakyembe hajui sanaa ndiomana anaona utajiri kama ndio mafanikio ya msanii.Pia hajui kama siasa ni maisha ya kila siku hivyo waziri si mwanasiasa bali ameajiriwa na siasa.My take;mafanikio ya msanii yanapimwaje, ni wingi wa mali alizochuma kupitia sanaa au faida chanya ambayo sanaa yake imewrezesha/sababishia jamii?Source Clouds Alasiri
AnaaminiMwakyembe kila anenalo ni pumba tupu,afadhali na Baba Bashite tena
Walitoa sehemu ya hotuba yake ambayo ilikuwa inajitosheleza.Hii stori ya clouds ilibalance??Je walimhoji mwakyembe kuhusu jauli yake?
Sasa kwenye taaluma yake mwenyewe kaboronga...Mtu ana taaluma ya sheria unampa wizara ya michezo then utegemee maendeleo
Hasa pale BMKSasa kwenye taaluma yake mwenyewe kaboronga...
Angeachwa kwani lazima apewe wizara? Hawa ndo wa vyeti vya kugushi hawa sasa kama hata taaluma yake huimudu huoni kuna tatizo hapa?Sasa kwenye taaluma yake mwenyewe kaboronga...
Yaani waziri wa sanaa hamjui Bob Marley wala Lucky Dube inachekesha sana, yeye na P square na Dovido hao ndio kuntu kwake!Mwakyembe hajui hata tone la muziki. Anasema hakuna mwanamuziki mkubwa alifanikiwa kwa kukosoa serikali! Yaani atakuwa hamjui hata bob marley the ever living legend! ambaye alifariki tarehe kama ya leo mwaka 1981 na mpaka leo hakuna msanii wa reggae anaweza kujifananisha naye. Bob mara zote alikuwa anakosoa serikali nyimbo kama Babylon system, stiff necked fools, crisis, who the cap fit, crazy bald head, war, yaani almost zote tu anakosoa serikali na mfumo wake mbovu.
Culture, burning spear, Lucky Dube. Tupac, scarface, wanamuziki wa South karibu wote walikuwa wanapingana na serikali kipindi cha ubaguzi na walifanikiwa sana tu. nyimbo kama we miss you manelo (walimaanisha Mandela), freedom is coming tomorrow na nyingine nyingi nyingi....
Harrison anaforce kuijua sanaa bahati mbaya hajafanikiwa kuijua sanaa ila sanaa imefanikiwa kumjua yeye ndo maana inamfinika!
Mwakyembe hajui hata tone la muziki. Anasema hakuna mwanamuziki mkubwa alifanikiwa kwa kukosoa serikali! Yaani atakuwa hamjui hata bob marley the ever living legend! ambaye alifariki tarehe kama ya leo mwaka 1981 na mpaka leo hakuna msanii wa reggae anaweza kujifananisha naye. Bob mara zote alikuwa anakosoa serikali nyimbo kama Babylon system, stiff necked fools, crisis, who the cap fit, crazy bald head, war, yaani almost zote tu anakosoa serikali na mfumo wake mbovu.
Culture, burning spear, Lucky Dube. Tupac, scarface, wanamuziki wa South karibu wote walikuwa wanapingana na serikali kipindi cha ubaguzi na walifanikiwa sana tu. nyimbo kama we miss you manelo (walimaanisha Mandela), freedom is coming tomorrow na nyingine nyingi nyingi....