Ntakukumbuka sana kwa kitabu chako nilichosoma pale mkwawa high school siku nyingi saanaaa...A man of the people,zaidi namkumbuka sana main character wa kitabu kile Chief nanga...
Hii kweli ni Breaking news! Things have Fallen Apart for the world of Scholars are no Longer at Ease to have lost such an Intellectual by the Arrow of God.
Hii habari si ya Kisiasa lakini umuhimu wake nadhani ingefaa sana kuachwa jukwaa la siasa ili ipate haki yake, sijui hawa "wapata zero" kama wanaendelea kusoma vitabu vyake au ndio washabadilishiwa wanasoma vya 'Nyambari' tu.
Hi! try to learn or continue learning "PARTS OF SPEECH" before going to "SPEECH....".On your post you had to write "IN THE DORMITORY".Keep on learning.
"God's case has no appeal, Rest in peace "Man of the people" you left us while "Things are still Failling Apart" in Africa! However we sons of the land still hope "No longer at Ease"!