Ntakukumbuka sana kwa kitabu chako nilichosoma pale mkwawa high school siku nyingi saanaaa...A man of the people,zaidi namkumbuka sana main character wa kitabu kile Chief nanga...
Mungu amrehemu sana mtaalamu huyu wa kiafrica, dunia itamkumbuka daima.
Aliandika vitabu vingi vilivyotafsiriwa na luga zaidi ya 50, lala pema chinua achebe
daah too bad too sad .. rip legend yaani ni majuzi tu nimekikuta kitabu chake cha "things fall apart " kwa wanaouza vitabu vya used posta ikabidi nikinunue ni moja ya vitabu vya linguistics nilivyovipenda na vinaeleza uhalisia wa mwafrika kwa ndani sana...