Kama kuna institution ambayo sina imani nayo ni BOT
1. Kwanza wanaongoza kwa kutoa statistics feki kila wakati za uchumi kukua na inflation kupungua ..
2. Wanaongoza kwa kutoa ajira pendelevu .utashangaa watu wanaajiriwa BoT kila kukicha, ila hakuna matangazo yoyote ya vacancies ambazo tumeshawahi kuziona kwenye vyombo vya habari husika Je inakuwaje private companies watangaze, hii benki yetu isitutangazie??? Je wanawapataje waajiriwa wao??? How competent are they??
this is real sad guys, mwnkjj u can say that again, when u find somebody to shoot you, tell them to shoot me too, i feel like am walking in a very long tunnel mbele giza, nyuma giza, ingekuwa siku za nyuma wakati akili yangu haijafunguka ningeona situation niliyopo its my fault maybe am not doing enough, but now nikisoma mambo yanayoendelea now i know kwanini matumizi yangu yanavuka mapato yangu and i cant control that, kwa mahesabu ya haraka haraka robo ya kipato am spending on transport, tena usafiri wenyewe wa ubabaishaji kama nini, kila siku am late na inatia hati hati ajira yangu, just imagine nikipoteza ajira mambo c yatazidi kuwa worse, siwezi ku save sehemu ya kipato changu, nikitaka mkopo, man..hizo interest unazochajiwa unaonelea bora uendelee kufunga mkanda hivyo hivyo, another robo inaenda kwenye umeme, bado chakula ambacho ni vital katika kuendesha maisha ya mwanadamu ah yaani we acha tu, if i had one wish, i wish i could swap position na kikwete or any other kigogo/fisadi ili ajue hardship ambazo mwananchi wa kawaida ana face, kutokana na maamuzi yasiyo na busara.
Vijana twaweza fanya maajabu kama tukipenda kufikiri. Nawaza bila shaka na wewe wawaza. Je sisi simoja ya mataifa makubwa? Je sisi simoja ya mataifa tajiri sana?
mi nadhani Ndulu kajitahidi lakini ameingizwa kwenye genge.Pale Bot palishakuwa nyumbani kwa watu.
Hat mimi si elewi, kwani uchumi kukua vigezo vyake ni ujenzi wa shule? Huyu Mkulu asitutanie, nani ambaye hajaenda sokoni mwezi huu, nyanya imekuwa ya mafisadi maana sie hatuwezi kununua. Huyu anataka tu kukubali Governor ajengewe jumba la kifahari ili baadae aje aseme uchumi umekuwa kwani tumeweza kujenga jumba la Governor.
Swali kwa Mkulo: Nduru alipoingia madarakani USDTZS ilikuwa ngapi na sasa ni ngapi? Nasema hivi kwa sababu kimsingi shilingi imedhoofika yani ukienda kidata!!leo ni 1350 je nduru alipoingia ilikuwa ngapi? Tusipanick twende na data. Mkulo hajui chochote maskini