Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,013
Amekuwa Boss wa BOT kwa miaka kumi
Sasa hakubaliki kivipi?
Sasa hakubaliki kivipi?
Kwa hiyo hapa kwetu ndio akaonekana hafai
Kwa hiyo hapa kwetu ndio akaonekana hafai
Kapigwa beat na bashite kawa mdogo kama pilton!!Hata Mwigulu ni mchumi mkali #people say ila sijui yuko wapi siku hz hata kwenye mambo ya vyura fc simsikii kama zamani
Hivi governor ndullu alipandisha uchumi wa Tanzania? Au aliimarisha shilling ya Tanzania?? Embu fanya assessment wakati ameingia alitukuta wapi na katoka katuacha wapi?
Fanya critical analysis!
Hata Mwigulu ni mchumi mkali #people say ila sijui yuko wapi siku hz hata kwenye mambo ya vyura fc simsikii kama zamani
Ina maana mzee meko hakumuona anafaa kuwa mshauri wake mpaka wasauzi wamemchukua?9. On 27th September 2019, South Africa's President, CYRILL RAMAPHOSA, appointed Prof. NDULLU as a member of the new Presidential Economic Advisory Council.
Amekuwa Boss wa BOT kwa miaka kumi
Sasa hakubaliki kivipi?
Nabii hathaminiwi kwao5. He is the only Tanzanian to have served as Deputy Governor and Governor of the Bank of Tanzania.
6. On 13th October 2015, Prof. NDULLU was named as Africa's Best Central Bank Governor and awarded - "The Central Bank Governor of the Year 2015 in Africa".
7. In 2009, a renowned International London-based Emerging Markets magazine named Prof. NDULLU as the Best Central Bank Governor of Africa, during the Annual meetings of the WB & IMF.
8. On 7th January 2016, Prof. NDULLU was appointed as the Chairman of the Board of Directors of the Alliance For Financial Inclusion (AFI), a global network of financial policymakers . AFI is member-based and member- owned. Its members are Central Banks and Regulatory institutions.
Huyo mwingine jina lake tu linamdefine wazi kwahiyo tusipoteze muda kuwapimaKati ya prof ndulu na prof lipumba nani ni mtaalamu zaidi wa uchumi