oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 678
- 394
Watoa mada walifanana mitizamo haikuwa nzuri sana UDASA wangetafuta watu wenye hoja pingamizi nao watoe mada
Usimlinganishe kitila na baregu. Hao ni watu wenye msimamo miwili tofauti kabisa. Hata ukiwa tazama tu utaiona na kuijua tofauti. Lakini swala la huyo slowslow ni la wazi kabisa. Na hata kapala kanini sijui na yeye tayari keshaanza. Within no time atakuwa slow slow number 2.Ukishapewa madaraka,umezibwa mdomo hata yeye Baregu akipewa ulaji atanyamaza.cc Kitila Mkumbo na saga la uteuzi wa wasomi
Lakini pia yanaongelewa masuala ya kubadilika. Baregu naye alibadilika kwa kukubali kumkumbati Lowasa kinyume na ilivyokuwa awali. Siyo ajabu Kabudi na Humphrey kubadilika pia.Watu kama wewe ni wale ambao MNA akili kama bitozi serikali ikiwaambia nendeni mkatahiriwe wewe unakuomba wakuhasi sasa FISADI MKUU ndo ndani kwenye serikali tatu
Katiba haina CHAMAChadema bana,unawatisha watu wa ccm waende kinyume na chama chao?Hilo ni gumu sana,tafuteni mbinu za kuidhoofisha ccm
Huyu baregu anazeeka vibaya,mbona yeye hajishangai kumwita lowassa mwizi kwa miaka8,akaketi kwenye kamati kuu kwa nusu saa tu akampitisha kuwa mgombea urais
Nchi hii mtu akishakuwa ccm akili zinaruka,sisi wengine tunaichukia kwa kuwa imeharibu vichwa vya watanzania walio wengiLeo katika Kongamano la Kumbukumbu ya Muungano UDSM,nimekuona na kukusikia ukisema na 'wenzako' wawili. Ni Prof. Palamagamba Kabudi na Humphrey Polepole. Ni wenzako kwakuwa wote mlikuwa Wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katibu alias Tume ya Warioba.
Prof. Baregu umewachokoza wenzako hao na kuwaomba kukamilisha kazi mlioianza. Kazi ya kupata Katiba mpya. Kwasasa,Prof. Kabudi ni Waziri wa Katiba na Sheria. Mtu muhimu kiserikali na kisekta. Polepole ni Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM. Mtu muhimu kichama na kwa kitengo
Umewapa ujumbe. Umewachokoza kukamilisha walichokianzisha na kukitolea jasho. Watachokozeka? Tusubiri!
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
kwani wamewekwa na nani pale, hivi nikweli chadema wote wanafurahia uenyekiti usiokua na mwisho wa mwenyekiti wa chama.thubutu! njaa mbaya sana mwakyyyemb alikana andiko lake!
Wewe unalo? Mkabila mkubwaWe nawe huna jipya wewe.....
Kwahiyo ndio umemjibu hapo, ama kwel ccm inaharibu kichwa vya vijana wetuWe nawe huna jipya wewe.....
Mzee Tupatupa wacha tuendelee kutizama unafiq wa viongozi wetu. Kila siku huwa nawaambia watu kwamba hakuna unafuu,hakuna cha CCM,CHADEMA,CUF,NCCR,CHAUMA,ACT,SAU...etcWewe unalo? Mkabila mkubwa
Mzee Tupatupa
Jina lake tosha kuonyesha ana matatizo.Jina huakisi mawazo ya mtu.Nenda ukawe mkamwana kwa Lowassa labda roho itasuuzika Maanake watu wanajadili katiba wewe unawashwa na Lowassa !!
Hasa ikihamia kichwanithubutu! njaa mbaya sana mwakyyyemb alikana andiko lake!
Tumbo ndiyo bayaNi wasaliti kwani wote wamekula matapishi yao Njaa mbaya sana