Prof Baregu; Namkosa katika mijadala ya kitaifa,yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Baregu; Namkosa katika mijadala ya kitaifa,yuko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mosquito, Jan 22, 2011.

 1. m

  mosquito Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jf nisaidieni kupata maoni ya prof Baregu kuhusu Katiba mpya,dowans,na mwelekeo wa kisiasa nchini kama alishatoa
   
 2. F

  FredKavishe Verified User

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yuko sauti mwanza
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ameona chadema ni wababaishaji. muacheni mzee wa watu afanye kibarua apate kupeleka mkono kinywani.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  WATANZANIA NI WANGAPI HADI SASA (2005 - 2010) WENYE MAISHA BORA NA HADI HIVI SASA (2010 -2015) WAO WANAJIBIDISHA TU KUTAFUTA KIADA CHAKE NCHINI????

  Watanzania wenzangu tuambizane ukweli hapa na tusifichane hali halisi ndani ya mifuko yetu. Mpaka hivi sasa wengi wetu HATUZUNGUMZII TENAUCHUMI wa maisha yetuTanzania bali hali halisi ni UCHUMA wa maisha yetu nchini. Je, wewe????

  Baya zaidi, ajabu ninayoiona nkule bado CCM na JOPO LA MAFISADI wangependa Watanzania wote tukaseme tu YOTE NI MAISHA na kukimbilia kitanndani, baada kucheka na Masanja TBC, huku CC ya CCM wakibariki Dowans walimpwe.

  Huku waliosbobea katika uchumi nchini wanatutahadharisha KIAMA DOWANS WAKILIPWA na kuongeza kuongeza kwamba tunachoona mpaka sasa kwa gharama ya maisha eti hapo bado ni mwanzo tu wa mapinduzi ya sinema nzima wa ahadi ya Maisha BORA ZAIDI kwa kila Mtanzania; na katika kutimiza hilo Mhe Kikwete na CCM wametuhakikishia dhamira zao za kutufikisha huko kwa Nguvu Zaidi, Ari Zaidi na Kasi Zaidi.

  Sasa Mtu endapo utakuwa hauoni MAISHA BORA ZAIDI basi wala usisubiri kuambiwa na mtu, Wenye kuona UGUMU ZAIDI KWA KILA NAFSI YAKE huyu si Mtanzania tena maana WATANZANIA WOTE waliopata ahadi hizo tangu siku nyingi tu (2005 - 2010) maisha yao ni bora kabisa hivi sasa (2010 - 2015) wanacho kitafu kiukweli ni Uziada wa UBORA HUO WA MAISHA.
  HOJA YANGU:

  Kwa mantki hiyo Mhe Kikwete na CCM, watu wa Takwimu nchini acheni kutu fikicha ukweli, Watanzania ni wastani wa watu wangapi nchini maana hili la watu milioni 46 wala sihitaji tafsiri ya mtaalamu kubani kwamba si kweli.
   
 5. m

  mosquito Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes we can
   
 6. S

  Skype JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkubwa ujue Baregu aliingia kwenye politics sa sijui inakuaje maana namwona kimwa wakati huo ndo uwanja wake
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  prof. yupo na ameongea juzi tu mwananchi,kupinga malipo ya dowans, katiba etc
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Wewe vip Baregu yupo strategic sio wa kuropoka ropoka
   
Loading...