Kheri haya yametokea mapema kabla 2015,haya kama wewe Mwampamba na Juliana mlipokelewa na Kikwete,je Zitto na hawa wasomi wakuu wenye harakati za mapinduzi japo ukweli wote wametumiwa na Zitto kwa masilahi ya CCM pasipokuujua undani wa Zitto na chama kongwe,mapokezi yao itakuwaje??!! Nahisi CCM mtamwalika raisi wa China kuwapokea maana mlishaanza na balozi wao!!!