Iko wapi mkuuIkulu imetoa barua ya kustushwa na uamuzi wa Mgogo, naona inasambaa mitandaoni
Wamesema ni fake!!Ikulu imetoa barua ya kustushwa na uamuzi wa Mgogo, naona inasambaa mitandaoni
Mkuu lakini pia nimeona kule Instagram inaonyesha ile barua ya ikulu siyo rasmi ni fakeIko wapi mkuu
Zigo lipo outIkulu imetoa barua ya kustushwa na uamuzi wa Mgogo, naona inasambaa mitandaoni
Kikatiba kama inavyosomeka title yake sio tu anatafuta mabaya bali uthibiti pia. Hazina inalipa baada ya yeye kupitia malipo ya serikali na hivyo anauwezo wa kukataa malipo ambayo hayajapitishwa na Bunge.CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.
Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc
Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.
CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?
Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.
Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Kasentensi kamwisho kanadhihiri ufeki wa barua au kuna tatizo mahali.
Vitu vingine huwa original ila upepo ukigeuka navyo ugeuka kuwa fake.Mkuu lakini pia nimeona kule Instagram inaonyesha ile barua ya ikulu siyo rasmi ni fake
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri ya nini wakati ripoti zake zikishatinga tu Bungeni ni public good. Mbona wakati wa kupanga na kupitisha bajeti mambo hadharani, ila ilivyotumika iwe siri, siri kwa faida ya nani?kwanza anaonekana hana siri
Are you always this stupid or is today a special occasion?Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Jela inakuhusu mda si mrefu kwa kuandika habari ambazo huna uthibitisho wakeHabari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.
Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc
Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.
CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?
Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.
Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Pole sanaAre you always this stupid or is today a special occasion?