Mi nawashangaa hawa vijana wakati wanafanya kazi matumizi yao makubwa ni starehe hawakumbuki kuwekaza ila wakiumwa wanatukumbuka sisi wala ugali na mlenda tuwachangie ile ndogo tuliyonayo khaaaa
Mi binafsi sitakuja kuchanga hela yangu kwa ajili ya matibabu kwa mtu yoyote maarufu
Mi namuombea uponyaji tu hilo la helaa nehiiii