N Ndoano Senior Member Joined Aug 9, 2011 Posts 192 Reaction score 33 Jun 6, 2014 #1 Habari yenu wana JF, napenda kujua Producer Castro Ponela aliekuwa na kesi ya kumuua msanii Steve 2K, yuko wapi siku hizi? Jela, uraiani au wapi?
Habari yenu wana JF, napenda kujua Producer Castro Ponela aliekuwa na kesi ya kumuua msanii Steve 2K, yuko wapi siku hizi? Jela, uraiani au wapi?
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,377 Reaction score 24,111 Jun 7, 2014 #2 Ndoano said: Habari yenu wana JF napenda kujua produza castro ponela aliekuwa na kesi ya kumuua Msanii Steve 2k yuko wapi siku hizi?jela,uraia au wapi? Click to expand... itakuwa yupo jela kwani taarifa za kukamatwa kwake nilizisikia lakini za kuachiwa sijazisikia
Ndoano said: Habari yenu wana JF napenda kujua produza castro ponela aliekuwa na kesi ya kumuua Msanii Steve 2k yuko wapi siku hizi?jela,uraia au wapi? Click to expand... itakuwa yupo jela kwani taarifa za kukamatwa kwake nilizisikia lakini za kuachiwa sijazisikia
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,814 Jun 7, 2014 #3 Kuna thread ilikua kule celebrity nadhani mwaka jana ikimzungumzia. aliachiwa na kwa sasa nadhani shughuli za production nazifanyia kwao Mbeya.
Kuna thread ilikua kule celebrity nadhani mwaka jana ikimzungumzia. aliachiwa na kwa sasa nadhani shughuli za production nazifanyia kwao Mbeya.
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,654 Reaction score 6,544 Aug 9, 2023 #4 Kumbe mshikaji alitoka? Kumbe kosa la kuua unaweza samehewa?
O oladipo JF-Expert Member Joined Mar 8, 2022 Posts 2,232 Reaction score 3,827 Aug 10, 2023 #5 Mlolongo said: Kumbe mshikaji alitoka? Kumbe kosa la kuua unaweza samehewa? Click to expand... Hyo kesi yake ilikuwa manslaughter aliua bila kukusudia alitoka jela kitambo sana
Mlolongo said: Kumbe mshikaji alitoka? Kumbe kosa la kuua unaweza samehewa? Click to expand... Hyo kesi yake ilikuwa manslaughter aliua bila kukusudia alitoka jela kitambo sana
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,377 Reaction score 24,111 Aug 12, 2023 #6 Mlolongo said: Kumbe mshikaji alitoka? Kumbe kosa la kuua unaweza samehewa? Click to expand... Aliua bila kukusudia
Mlolongo said: Kumbe mshikaji alitoka? Kumbe kosa la kuua unaweza samehewa? Click to expand... Aliua bila kukusudia
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,462 Reaction score 29,390 Aug 12, 2023 #7 Mlolongo said: Kumbe mshikaji alitoka? Kumbe kosa la kuua unaweza samehewa? Click to expand... Katoka mda Sanaa
Mlolongo said: Kumbe mshikaji alitoka? Kumbe kosa la kuua unaweza samehewa? Click to expand... Katoka mda Sanaa