Fredy franciss
New Member
- Sep 15, 2022
- 3
- 1
Mimi naitwa fredy ni mwanafunzi wa chuoo kikui cha mtakatifu augustine saut mwanza. Nina swali moja tu naomba ushauri hii kozi inaajira au hamna maana naona haina mwelekeo
Jifunze kuandika vizuri kwanzaMimi naitwa fredy ni mwanafunzi wa chuoo kikui cha mtakatifu augustine saut mwanza. Nina swali moja tu naomba ushauri hii kozi inaajira au hamna maana naona haina mwelekeo
Hiyo course ndo unayosomea?? Mbona hata huijui hata inavyotamkwa na kuandikwa Halafu unataka uajiriwe??Mimi naitwa fredy ni mwanafunzi wa chuoo kikui cha mtakatifu augustine saut mwanza. Nina swali moja tu naomba ushauri hii kozi inaajira au hamna maana naona haina mwelekeo
