Procurement job

Procurement job

ELSA

Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
10
Reaction score
0
Habari wana JF,naombeni msaada wenu natafuta kazi ya procurement kwa ajili ya mdogo wangu wa kike nimemsomesha kwa shida sana sasa kamaliza na kafaulu vizuri ila hana kazi.Jambo hili linanisumbua sana.

Kwa yeyote anayejua hata sehemu ambayo anaweza akapata hata intern naomba anisaidie kunipa hizo taarifa nimeshajaribu sehemu zote ninazozijua bila mafanikio.
 
Sio lazima afanye kazi ya fani aliyosomea.mtafutie hata kazi ya ubank teller kwenye mabank,kwa kuanzia co mbaya.hizo kazi za procurement upatikanaji wake ni mgumu sana.
 
Kichwa cha habari nilidhani utatoa kazi, kumbe unatafuta..?. Haya bwana.
 
kupata kazi za procurement ni ngumu sana. Mfungulie hata biashara. Kusoma sio kuajiriwa. Pia kuna kujiajiri.
 
Habari wana JF,naombeni msaada wenu natafuta kazi ya procurement kwa ajili ya mdogo wangu wa kike nimemsomesha kwa shida sana sasa kamaliza na kafaulu vizuri ila hana kazi.Jambo hili linanisumbua sana.

Kwa yeyote anayejua hata sehemu ambayo anaweza akapata hata intern naomba anisaidie kunipa hizo taarifa nimeshajaribu sehemu zote ninazozijua bila mafanikio.

Kwanza nikupe hongera kwa moyo wako uliyonao wa kumsomesha mdogo wako....ila nakushauri asome mitihani ya board(PSPTB) ili awe marketable....afu akimalize tuwasiliane...
 
Asante kwa ushauri mkuu,ndio yupo anasoma hiyo mitihani ya board..i just pray afaulu then tujue tunafanyaje .Ningependa afanye kazi za procurement ili awe competent in her field and use the knowledge she got from school.

Mkuu If you can give her even internship ili asikae tu home coz her classes ni za evening I will appreciate.
 
Hongera sana mkuu kwa kumsomesha sister etu japo kupataka kazi za ugavi sikuizi ni ngumu sana ila tusubil amalize kila mtu na bahati yake
 
kupata kazi za procurement ni ngumu sana. Mfungulie hata biashara. Kusoma sio kuajiriwa. Pia kuna kujiajiri.

mkuu huezi amin ---- mshikaj wangu kitaa huu mwaka wa 5 ajapata job la ugavi duh vimeno noma
 
Kz zingine zina uhakika wa NOTI moja kwa moja so kuzipata Lazima uwe na LINK yakueleweka...!
 
Habari wana JF,naombeni msaada wenu natafuta kazi ya procurement kwa ajili ya mdogo wangu wa kike nimemsomesha kwa shida sana sasa kamaliza na kafaulu vizuri ila hana kazi.Jambo hili linanisumbua sana.

Kwa yeyote anayejua hata sehemu ambayo anaweza akapata hata intern naomba anisaidie kunipa hizo taarifa nimeshajaribu sehemu zote ninazozijua bila mafanikio.

Mimi sina ninapopajua ila nakutia moyo asiache kufanya application kwani itajibu tu japokua inaweza isiwe haraka kama unavyotaka
 
nimesoma procurement...sasa nafanya kazi kama mwalimu shule moja ya msingi English medium... nakushauri usingoje hadi mambo yakiwa magumu, afanye kazi yoyote tu.

Wagavi tunaofundisha sasa tupo wengi na tuna mpango wa kuchukua PGDE.

HATUJAKATA TAMAA ILA NDO HVO MFUMO UMETUKATAA. HUKU TULIPO WANAFAIDI PIA UWEZO WETU WA ZIADA KAMA WALIMU NA MSAADA TUNAOWAPA KAMA WAGAVI...
 
mkuu humenena acha nimwambie mshikaji wangu huwezi amini huu mwaka wa 5 hajapata kazi na kasoma ugavi sometimes anajirahumu why alisoma hiyo course ila nampa moyo PIGA MOYO KONDE MAISHA UYASHINDE
 
Kz zingine zina uhakika wa NOTI moja kwa moja so kuzipata Lazima uwe na LINK yakueleweka...!

mkuu sikuhizi ukitoa Education,Afya na course za sience zilizobaki zote hutasugua gaga bora tuzidi komaa hadi zamu ifike
 
hata mi nna degree ya ugavi safi kabisa....na hy mitihan ya bodi nimefanya nusu, kama kafaulu vema, amalize mitihan akafundishe tu kupata kazi moja kwa moja ni mtihani huo...tena akafundishe ata egal wings college wakimpa laki 3 kwa mwezi part time akiunga na kingne wakimpa laki 3 zingne akaaaa si mbaya..kazi ngumu sana...
 
Back
Top Bottom