procurement and supply

Soma magazeti unaweza kuona nafasi yenye hizo sifa. Ila kama vipi jiendeleze zaidi
 
yeah 4 sure jiendeleze kidogo jitahidi uwe na angalau diploma itakuwa poa,hapo ukienda fanya kazi utapatashida sana kwani wengi ni wenye degree au diploma jiendeleze mtu wangu.
 
Back
Top Bottom