Ni za kuearn online. Unalipwa kila ukiangalia video, ukiclick na kudownload matangazo. Kibongo bongo inakua ngumu lakini per day unaweza hata usifkishe dola 1
Ni za kuearn online. Unalipwa kila ukiangalia video, ukiclick na kudownload matangazo. Kibongo bongo inakua ngumu lakini per day unaweza hata usifkishe dola 1
Malipo anayopewa mbongo na mmarekani ni tofauti. wewe ukiclick tangazo unapewa 0.01 usd na mmarekani anapata hadi 0.50 usd sababu ni kwamba yale matangazo hayatuhusu sisi na hata kama ndio utadownload apps huwa hatuna tabia za kununua online ina maana kwenye in app purchase mbongo atacontribute 0 usd. ingekua watu kama azam, voda na wengineo wanapeleka matangazo yao basi hata sisi tungelipwa vizuri.