Mjapani aliyebuni probox alikuwa yupo vizuri na alikuwa ametulia. Hizo probox ndio daladala za kigoma ndanindani huko wanaziita mchomoko. Yaani mnajazwa watu, mizigo na mifugo sanasana mbuzi na kuku. Halafu dereva anaichochea kwenye vumbi la kigoma kwa kasi ya ajabu mkija kushuka wote mna rangi nyekundu ya udongo wa Kigoma... Mchomoko ni next level.