Problem with Win 7 explorer

Wanzuki

Senior Member
Apr 8, 2009
115
13
Computer yangu ina Windows 7 Pro, 32 bit. Ninapotaka kudownload file na kusave, au ku-attach file kenye intaneti, Browser inapoanza tu kufungua explorer (upate list ya folders na files kwenye PC), ina-hang! (Stop responding!). Please help! Inanikera sana! Mwanzoni nilifikiri tatizo ni la Internet Explorer lakini nilipotumia Mozilla Firefox same problem!

Windows update says 'Windows is up to date'. Hakuna update ambayo computer inahitaji!!
 
Ni computer gani? Je ilikuja na windows 7 au uli-upgrade? Angalia computer ilitengenezwa lini.
 
Ni DELL OPTIPLEX 380, CPU: Pentium Dual Core E5300 2.60GHZ, Installed RAM 2.0GB. Service tag: J74XQ4J, Operating system (Windows 7) ilikuja nayo iliponunuliwa. Siko sure imetengenezwa lini, nitajaribu kucheck, Lakini imenunuliwa mwishoni mwa 2010. Thanks.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom