Salaam wakuu...ninatumia nokia E51..kwenye simu yangu kila nikidownload application ya NIMBUZZ na niki create akaunti inakataa..nimeselect country fresh..kazi nikiweka namba inaniambia kuwa mobile number not valid....msaada wandugu..nataka kutumia NIMBUZZ