Problem of laptop Dell D 600

Problem of laptop Dell D 600

GHANI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
926
Reaction score
638
Wataalam natumia dell d 600, wakati wa ku start up inaanza vizuri lakini baada kama ya dakika tatu, ina stop mouse haifanyi kazi na program zote zina stop(stack) pia inaleta ujumbe usb root hub, natumia windows xp.msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom