Breki sina
Member
- Jun 3, 2013
- 96
- 32
Source Itv habari,akizungumza baada ya kuhitimisha balaza kuu la uongozi la Cuf mwenyekiti wa Cuf taifa amelishambulia jeshi la polisi kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya kwa kushindwa kupambana na wafanya biashara haramu wanaouza madawa ya kulevya na kuchafua taswira ya nchi nje ya mipaka,huku nguvu kazi ikipotea pia ameishangaa wizara ya mambo ya ndani,kuwa wapo wapi mpaka waziri wa uchukuzi ndio aende kupambana na wapitisha madawa katika kiwanja cha ndege cha JKIA ,wakati polisi wapo na wanatanua hapa nadhani alikuwa anamgusa Nchimbi.