Mwananchi hewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 226
- 275
Kama umeipenda prison break itafute na hiyo utainjoy saaMoney H. Sijaiona ila nadhani prison break ni the best
itafute hiyo akili yako itakuambia vizuriAkili yangu imeniambia kuwa hakuna series nyingine ambayo itakuja kunivutia kama PB.
Hakuna!! Hakuna!!
subiri waje wajuvi watakuelekezaNaombeni link ya kudownload series free.
Huwa sibadiliki.itafute hiyo akili yako itakuambia vizuri
Mzee itazane money heist kwanzaMoney H. Sijaiona ila nadhani prison break ni the best
Kabisa!Akili yangu imeniambia kuwa hakuna series nyingine ambayo itakuja kunivutia kama PB.
Hakuna!! Hakuna!!
breaking bad umeiona?Akili yangu imeniambia kuwa hakuna series nyingine ambayo itakuja kunivutia kama PB.
Hakuna!! Hakuna!!
Breaking bad ni nzuri mkuu Mr white nimeiona mwanzo mwisho ina balaa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]breaking bad umeiona?
Money heist hadi sasa akili bado inagoma kuiita Best series...Bado sana yani hata Vikings ni Best zaidiMzee itazane money heist kwanza
Akili yangu imeniambia kuwa hakuna series nyingine ambayo itakuja kunivutia kama PB.
Hakuna!! Hakuna!!
Kwa kutumia akili zaidi PB inaongoza ila kwa matukio yenye kusisimua Lacasa La casa de papel ni the best. Yaani una feel kabisa uchungu wa tukio. Ref Kifo cha BerlinAkili yangu imeniambia kuwa hakuna series nyingine ambayo itakuja kunivutia kama PB.
Hakuna!! Hakuna!!
Una mind mwenzio ana-make bingo! In form of Dollar $Yule shoga mi ndo nlpomind
Hope hujaona 24hrsMpaka sasa sijaona Series ya mission zaidi ya Prison Break[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Achana na scofield yule mjinga balaa
[emoji23][emoji23][emoji23]24 naachaje kuiona..!! Wewe utakuwa mtu wa kwanza kuicomment pia.. Kwenye list ya series kali 24 utaikuta mara chache sanaHope hujaona 24hrs