Prisca ananitisha

Prisca ananitisha

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
Wakuu hali zenu,

Kama mwezi mmoja uliopita nimeanza kufuata nyuki na nia yangu ni kuchonga mzinga. nyuki wangu ni mzuri ananipendeza lakini kitu kimoja kinanikera.

Mara zote stori zake ni kutunguana tu, mara umenigegeda vizuri, mara utakuja saa ngapi unipe kamoja mara bo.. yako inanikuna vizuri hakuna muda anaongelea mambo ya maendeleo.

Prisca wangu huyu mkilala hata kama huna mood, atapita huku mara kule mara vile mpaka ule ndipo alaleee, sijafikia hatua ya kuomba poo but maisha ya kunukizana jasho tu akirudi job akinikuta ni game tu.

Jamani mnanishauri nini kuhusu nyuki huyu?

nangu mandokwa!
 
duuuh.. uombee abadilike kidogo apate mawazo ya maendeleo
 
Niunganishe naye nikusaidie usipokuwa na mood🙂
 
Kuna watu wana bahati sana Dunia hii, GoDamn!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi, chalii ushazoea ngumi sio? unajifungia ndani lisaa unabembeleza 50min.
 
dah, yaani binadamu hatueleweki, huyo akianza kukusaliti utamlaumu nani mkuu.....kiu yake anakuletea wewe mwenza wake kosa lake nini !!??... ok cha kufanya mtafutie biashara/ shughuli yoyote nyingine ya kumfanya awe busy zaidi ili kupunguza hiyo hali..lakini kuanza kulaumu si halali mkuu watu wanalia kila siku kwa kutendwa wewe wako muaminifu then waanza kukufuru Mola
 
wakuu sio swala la kujiweza.... maisha ni zaidi ya ngono... wife ipo siku atatakiwa awe first lady.. sasa akiwa mtu ngono tu...
 
Daah!!!..Mkuu huyo msichana umempata wapi??..
 
Back
Top Bottom