printer za aina hii........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

printer za aina hii........

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by majogajo, Apr 15, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wana JF mm sina uzoefu wa kutosha juu ya hizi printer.........ilka nataka kununua printer yenye uwezo wa ku-print passport size, karatasi kwa rangi zote coloured na coloures. so nahitaji kujua ni aina zipi ni nzuri na zinapatikana kwa bei gani hapa Dar na ni duka lipi ni zuri kwa hizi printer hapa DSM. ntashukuru kwa msaada wenu.
   
 2. Isaac Chikoma

  Isaac Chikoma JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  laser printer,laki 2mbili na kidogo,au 180;
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Haujamsaidia kitu hapo mdau, Laserjet gani inaweza kuprint passport size pictures? Mpe model na wapi atapata!
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tafuta PhotoSmart zipo nyingi kutegemea na mfuko wako
   
Loading...