Printer Kubwa ya Mabango Bei Poa

Printer Kubwa ya Mabango Bei Poa

lawyer2

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
224
Reaction score
67
Salaam wadau...ni nauza printer Kubwa ya mabango (Large Format) mpya kabisa na imeharibika. Imetengenezwa na Yilong Corporation.Inaprint kwenye karatasi ngumu na nyepesi na hata platics na canvas.Nauza Mil 14.Kwa mawasiliano 0689900000.
1466793579735.jpg
1466793620388.jpg
1466793649238.jpg
 
Printer yako ni mpya alafu imeharibika? Imeharibika vipi? Uliwahi kuuliza kuhusu garama za matengenezo?
 
Sasa kama imeharibika mwingine ainunue ya kazi gani?
 
Mashine ni mpya kabisa nadhani hapo ni spelling tu poleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom