Nijuavyo mimi
TYPE- Kuandika kwa kutumia kifaa kama kompyuta, simu au typewriter (kifaa ambacho ndio hasa kinaendana na istilahi hii)
PRINT- Kuchapa yaani kuweka maandishi, picha au mchoro kwenye karatasi, kitambaa au kitu chochote kwa kutumia mashine/kifaa cha kuchapa.
Nakubali kukosolewa.