"prince" KATEGA na "abbas" CHIONDA

"prince" KATEGA na "abbas" CHIONDA

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
"Prince" Katega wewe ni msaliti kwa kutumia jina la "prince" huoneshi uhalisia wa kutuujuza ASILI ya UAFRIKA wako ,badili hilo jina ili uwe mfano kwa Waafrika wote,hata Chionda achana na jina la "abbas" ni usaliti na unafiki,ni budi Waafrika wote wabadili majina yao yote kutoka ya kizungu na kiarabu, mmajina ya "prince" na "abbas" yana maanaye kwa asili za Kiafrikka.

Mobutu aliwahi kuwataka wananchi wote wa Kongo wabadili majina yao kutoka ya kikoloni kuwa ya ASILI na waliweza na yeye akiwa wa mfano.

Sasa nyie mnahubiri UAFRIKA wakati mnamiliki na kutukuza uzunggu na uarabu kama siyo unafiki mi nini.

Ni rai yangu kila MWAFRIKA popote alipo abadili jina lake kutoka la kigeni kuwa la KIAFRIKA kwa maana ya asili ya Afrika.

Majina yote ya kikoloni yawe ya mitaa,barabara,miji,maziwa,milima,nk yabadilishwe kuwa KIAFRIKA yenye kuwakilisha maana halisi ya Uafrika.

Nawasilisha!!
 
Back
Top Bottom