ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Sasa wewe ndie unaharibu.
Hoja huangaliwa na ikionekana ina kasoro si anaangaliwa anaeleta hio hoja ama vipi?.
Prince Bagenda ameleta hoja mbovu na haileweki si inabidi kumwangalia mtu mwenyewe au wewe umeonaje hoja yake?
Ikiwa unaungana nae basi usijibu swali langu bali chambua hoja yake, na kama unaona hoja yake ina mapungufu basi wewe ongezea mapungufu hayo.
Kada wa chama cha mapinduzi na mwanasiasa mkongwe nchini Prince Bagenda amekishambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kwa operesheni yake ya M4C inayotishia uhai wa CCM.
Katika makala yake ndani ya gazeti la RAI Prince Bagenda amedai M4C ni chama kipya cha siasa ndani ya CDM na kusema hali hiyo ni hatari kubwa kwa ukuaji wa chama hicho na amesema utatokea mvutano mkubwa kati ya wafuasi wa CDM na wafuasi wa itikadi ya M4C.
Bagenda pia amesema kampeni ya M4C wanayoongoza nchi nzima inatangaza sera za shari na chuki.Pia amesema CDM walipata kura nyingi uchaguzi mkuu uliopita kutokana na vita ya makundi ndani ya CCM na kamwe si kutokana na chama hicho kuwa na sera nzuri.Amesema CDM hawana Itikadi inayoeleweka hadi sasa ndiyo maana mpaka sasa wajanja kama yeye wako CCM.
Source:RAI Alhamisi
My Take:
Prince Bagenda alishiriki kusambaratisha chama cha NCCR Mageuzi baada ya kuongoza mgogoro mkubwa huku akikimega chama vipande viwili na yeye akiwa Katibu Mkuu kambi ya Mrema.Baada ya kufanikisha kusambaratisha NCCR,Prince Bagenda alihamia CCM ambapo hadi leo yeye ni kada mwaminifu wa CCM.
Huyu Bagenda na akina Salva ni jamii moja. Njaa iliwafanya wakane weledi wao. Sisi tuliowafahamu hakika twawaita "marehemu"
Kumbe huyu jamaa bado yupo kwenye siasa.
Hivi bado kuna watu wanamchukulia huyu Bagenda kuwa ni mtu serious?
Prince Bagenda hajaleta issue hapa ameleta calculated propaganda, na mtu wa mithili yake(kwa maana ya heshima ya namna anavyoandika na kuchambua mambo) kuleta hayo watu hawezi kujizuia kwenda personal and physical if needs be. It is intended distortion at its best. Ndio maana watu wanaangalia his track record ili kuunganisha na upuuzi aloandika