LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 303
- 571
Primi Mushi amechukua kwa nguvu nyumba ya familia ya Bigwa iliopo Mugabe njia panda ya kwenda Mawasiliano kulia ukitokea Shekilango yenye fremu wanauza nguo na kuwapa mikataba mipya wapangaji wote, waliogoma wameondolewa na mabaunsa akidai hela yake kwamba gorofa la K/Koo halijatosha kufidia pesa zake ni baada ya kuita na kubandika kibao kwenye gorofa la /Koo kuwa Mkomilo tower nahisi ni kijiji anachotoka huko Kibosho huku akitaka kuanza ujenzi kwenye kiwanja cha Kipata na Myamwezi ujenzi wa gorofa huku kesi ikiwa mahakamani
Walalamikaji hawana la kumfanya hapo hapo Mugabe kama unaenda mawasiliano kwenye mataa kona upande wa kushoto ukitokea Shekilango anajenga gorofa tatu kwenda juu kuna uzio wa mabati.
Je, huyu jamaa ameshindikana kabisa? Tunaomba Serikali kuingilia kati kuepusha Serikali kuchafuka.