BEATRICE ALFRED
New Member
- Jul 6, 2013
- 4
- 0
Wajameni niambieni hawa watu wanadili na nini?nimeitwa interview''
Mostly wanadeal na telecommunication hasahasa installation ya telecommunication equipments.
Watakuitaje kwenye interview bila kuomba kazi?
Umemuuliza kama aliomba au la?
Au inawezekana kweli mtu baki tu from nowhere akaitwa kwenye interview pasipo kufanya application?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wajameni niambieni hawa watu wanadili na nini?nimeitwa interview''[/QUmambo vip beatrice naomba email ya prime power (T)limited
Watakuitaje kwenye interview bila kuomba kazi?