Prime Minister Netanyahau speech on Congress

super nova

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
1,478
Reaction score
1,099
The thing is over possible nuke deal btn Iran and USA.




http://goo.gl/LG9Hl9
 
ISIS and Iran have same ideology..one is state other is republic...they have same dream. To defeat isis and let the iran own nuke is to win the battle and loose the war..
 
Mwenye uwezo wa kuangalia CNN sasa hivi aangalie netanyahu wa israel analihutubia Congress la USA na kutangaza kuwa Muda wowotw Iran itaisambaratisha US hivyo waungane kumdhibiti sasa hivi.
 
[video]http://www.playlivenew.com/2010/08/watch-cnn-news-live/[/video]

Ambaye yuko mbali na TV link ni hiyo
 
War on Iran is being sold and we will buy it as we bought war on iraq, leaving behind serious man made human catastroph!
 
Huyu hana lolote zaidi ya kutafuta huruma ya kua . Obama kashamwambia yeye kama anataka kuishambulia iran aende ila yeye hatampa support. Mbona hata israel ina ninu vya nyuklia?

Ndo anashawishi Congress
 
ISIS and Iran have same ideology..one is state other is republic...they have same dream. To defeat isis and let the iran own nuke is to win the battle and loose the war..

ISIS ni ya israel, UK na USA. Huhitaji PhD kujua hili.
 
ISIS ni ya israel, UK na USA. Huhitaji PhD kujua hili.

International politics is crazy...he say he defend himself. If it will reach a time for Israel to alone Israel will; but i know israel will not stand alone America will stand....is some kind of words in waging wars.

Now is the story of mosses from slavery and brave word of goood bye.

Democrats wameuchuna republican wana amsha amsha.
 
Anaifitinisha Iran .kwa hiyo hawa Congress ndiyo wale wapenda vita nn?
 
Netanyahu Hana utani ni mpambanaji kama kakake YOHAN NETANYAHU Marehemu.

Iran wataimeza wasipoinywa.
 
Obama haelewani Na Israel nashangaa jamaa amekubalika.
 
Halafu Obama hampendi kabisa Netanyahu only a
hataki ku lose support ya American Jews
 
super nova

Hawa waisrael wanataka kuwafanya watu waamini kila kitu chao. kwani sisi tuna uhakika gani na hizo stori za Moses? hizi stori zake za kila siku hana jipya na akumbuke dunia inabadilika haiwezi kuganda kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…