Mchango wako ni mzuri mkuu but inabidi ufunguke, mji unakuwa ni si kila mtu anafanya kazi city centre!
unawezanunua property either kwa kuoccupy mwenyewe ama for investment purpose! Kama unaishi nyumba ya kupanga, unaweza pia wajengea wengine na wewe ukawa Landlord/Landlady.
Kuhusiana na infrastructure, kuna project ipo jirani (bahari beach town project) ambao wataweka ferry terminal to city centre tembelea hapa
Bahari Beach Project Main Page
serikali pia inajenga satelite town kibao likiwemo eneo la bunju!
Karibu mkuu!