Prime low density plots in Mbweni-DSM

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Wakuu. kuna viwanja vinne tofauti second low from the beach maeneo ya mbweni! Ukubwa ni kama ifuatavyo 1639sqm, 1191sqm, 1294sqm and 1580sqm. Bei ni poa kabisa karibu na bure. Do not miss this great opportunity! Call me 0754 85 82 45
 
Block namba ngapi???
 
mbweni nunueni wenyewe, lakini sisi tunaofanyakazi katikati ya jiji tunahitaji viwanja maeneo ya magomeni, kinondoni, ilala at least mpaka mwenge hivi na ubungo.

Sababu iko wazi wakuu, khali ya foleni hapa mjini ni mbaya sana, toka mbweni mpaka city centre ni 30 km combine with road traffic lazima uwe kichaa. Jamaa wanaokaa huko wananiambia kwamba ili ufike job (city centre) mapema inabidi uchomoke saa 11 kamili asubuhi. Jioni inabidi uzugezuge ofisini au bar ili foleni ipungue na uondoke hapa city centre saa 3 usiku na kufika home (mbweni/bunju) saa 4:30 usiku.

Sasa wadu hamuoni kwamba kama una familia, utaishia kukutana nao jumapili tu!! Achilia mbali kubenjuka na wife ambao wote mtakuwa mnarudi mmechoka mbaya. Hamtokuwa na muda mzuri wa kujua maendeleo ya watoto wenu na mambo mengine. Ukiwa na house girl/boy mapepe, kama kawa he/she will capitalize the situation kwa kugeuza nyumbani kwako sehemu ya kuangalizia picha chafu na ujinga mwengine kama wanenu ni wadogo bado!!

Labda wadau Mkiniconvince vizuri, naweza kununua plot mitaa hiyo!!

We need fly overs in Dar especially at Ubungo, tazara, mwenge, moroco etc to ease road traffic!
 
Mchango wako ni mzuri mkuu but inabidi ufunguke, mji unakuwa ni si kila mtu anafanya kazi city centre!

unawezanunua property either kwa kuoccupy mwenyewe ama for investment purpose! Kama unaishi nyumba ya kupanga, unaweza pia wajengea wengine na wewe ukawa Landlord/Landlady.

Kuhusiana na infrastructure, kuna project ipo jirani (bahari beach town project) ambao wataweka ferry terminal to city centre tembelea hapa Bahari Beach Project Main Page

serikali pia inajenga satelite town kibao likiwemo eneo la bunju!

Karibu mkuu!
 
mkuu thanks for info, lakini hiyo project inaanza lini, na logistic zake zitakuaje? Kama kuna mdau mwenye info zaidi azimwage! Unless the gvt inject funds to ease road traffic, ntaendelea kukaa kilomita 2 toka ofisini kwangu mpaka kufa. Hakuna kitu kinachoboa kama kukaa barabarani for 3 hours wakati unaenda umbali wa km 15!!
 
Nakubaliana na wewe mkuu! Mbweni hakuna block za alphabet, e.g. Najua kuna Mbweni Mpiji Block 1, 2,3 up to 5 kama sikosei! I stand to be corrected guys!
 
Exactly, in sequencial order,the last plot number is 14. Mleta mada leta tarrifa sahihi vinginevyo, hizo zako zitakuwa plots na viwanja hewa!!!!
 
Dalili zinaonyesha kuwa mleta maada ni dalali ambaye hajapata info za kutosha kuhusu viwanja.
Na hii tabia ya kusema bei maelewana sijui maana yake ni nini? Kwanini watu hawajiamini na bei wanazouza vitu, maana kushindwa kutaja bei ni kutoiamini hiyo bei. Muuzajia anayejua anatoa bei nzuri kwa value anajisikia proud kuitaja bei yake.
Usanii jamani tusinyiane ''wenyewe kwa wenyewe'' wana JF.
 
Mimi nilitaka kuuliza bei hapa, nikaona labda "business culture" yetu hairuhusu kuweka bei hapa.But if it is so one cannot help thinking that the primary reason for this is the predatory nature of the deal.

Kwa nini wasiweke picha na bei hapa kama kweli wako serious?
 
Dalili zinaonyesha kuwa mleta maada ni dalali ambaye hajapata info za kutosha kuhusu viwanja.
Na hii tabia ya kusema bei maelewana sijui maana yake ni nini? Kwanini watu hawajiamini na bei wanazouza vitu, maana kushindwa kutaja bei ni kutoiamini hiyo bei. Muuzajia anayejua anatoa bei nzuri kwa value anajisikia proud kuitaja bei yake.
Usanii jamani tusinyiane ''wenyewe kwa wenyewe'' wana JF.

Nimepata info za kutosha ndio maana nikaleta maada mkuu, sina tabia ya kukurupuka maana najiamini na kazi yangu, I am more than a dalali, I am a trained and graduate Land economist, Due diligence ndo mahala pake!

Kutaja bei ama kutotaja hayo ni matakwa ya muuzaji, kama muuzaji hataki property yake iwe displayed in terms of image na price, I have to dance the tune! I am just a broker!
 
Exactly, in sequencial order,the last plot number is 14. Mleta mada leta tarrifa sahihi vinginevyo, hizo zako zitakuwa plots na viwanja hewa!!!!

Kuna mradi wa viwanja vya serikali unaitwa 20,000 plots project! Viwanja vyake vyote ni numerical but ambavyo watu wamejipimia, blocks zipo in aphabetical order!
 
Back
Top Bottom