ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 108
Block namba ngapi???Wakuu. kuna viwanja vinne tofauti second low from the beach maeneo ya mbweni! Ukubwa ni kama ifuatavyo 1639sqm, 1191sqm, 1294sqm and 1580sqm. Bei ni poa kabisa karibu na bure. Do not miss this great opportunity! Call me 0754 85 82 45
wakuu kuna slide moja niliiona, inahusu kuongeza nguvu za kiume bado ipo?
Expert Broker
Naomba kujua kama vina hati?
mbweni nunueni wenyewe, lakini sisi tunaofanyakazi katikati ya jiji tunahitaji viwanja maeneo ya magomeni, kinondoni, ilala at least mpaka mwenge hivi na ubungo.
Sababu iko wazi wakuu, khali ya foleni hapa mjini ni mbaya sana, toka mbweni mpaka city centre ni 30 km combine with road traffic lazima uwe kichaa. Jamaa wanaokaa huko wananiambia kwamba ili ufike job (city centre) mapema inabidi uchomoke saa 11 kamili asubuhi. Jioni inabidi uzugezuge ofisini au bar ili foleni ipungue na uondoke hapa city centre saa 3 usiku na kufika home (mbweni/bunju) saa 4:30 usiku.
Sasa wadu hamuoni kwamba kama una familia, utaishia kukutana nao jumapili tu!! Achilia mbali kubenjuka na wife ambao wote mtakuwa mnarudi mmechoka mbaya. Hamtokuwa na muda mzuri wa kujua maendeleo ya watoto wenu na mambo mengine. Ukiwa na house girl/boy mapepe, kama kawa he/she will capitalize the situation kwa kugeuza nyumbani kwako sehemu ya kuangalizia picha chafu na ujinga mwengine kama wanenu ni wadogo bado!!
Labda wadau Mkiniconvince vizuri, naweza kununua plot mitaa hiyo!!
We need fly overs in Dar especially at Ubungo, tazara, mwenge, moroco etc to ease road traffic!
Mbweni block A mkuu!
Nakubaliana na wewe mkuu! Mbweni hakuna block za alphabet, e.g. Najua kuna Mbweni Mpiji Block 1, 2,3 up to 5 kama sikosei! I stand to be corrected guys!
Exactly, in sequencial order,the last plot number is 14. Mleta mada leta tarrifa sahihi vinginevyo, hizo zako zitakuwa plots na viwanja hewa!!!!
Dalili zinaonyesha kuwa mleta maada ni dalali ambaye hajapata info za kutosha kuhusu viwanja.
Na hii tabia ya kusema bei maelewana sijui maana yake ni nini? Kwanini watu hawajiamini na bei wanazouza vitu, maana kushindwa kutaja bei ni kutoiamini hiyo bei. Muuzajia anayejua anatoa bei nzuri kwa value anajisikia proud kuitaja bei yake.
Usanii jamani tusinyiane ''wenyewe kwa wenyewe'' wana JF.
Mbweni ipi hiyo mkuuu??? Mbweni hakuna block za alphabet!!!!!!