Question to Men around Here,unapata Chili ana dem tajiri lakini Hataki kumuomba Msaada anapokua na tatizo hivyo huyo mwanaume anakupenda kweli Au Ndio kusema anaogopa kujishushia hadhi Hebu nisaidieni

Najua wewe ni mgeni maana nimekukaribisha kulee mlango wa mbele...hebu funguka kidogo maana naona swali lako ni kama kuna chembechembe za wewe kuhusika vile!!!