Prezidaa mwenye watendaji "HOVYO" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prezidaa mwenye watendaji "HOVYO"

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyunyu, Sep 17, 2010.

 1. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  JK.jpg

  Haki ya nani mimi siwezi chagua Prezident mzembe namna hii.
  teh tehe tehe...........!!!!!!!!
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  Tatizo la huyu brother anachagua machalii zake kuwa wasaidizi.

  Ni ngumu sana kumstua panapokuwa na ishu isiyo sawa
   
 3. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kura yangu kwa Dr Slaa na Chadema.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Anapelekwa kama vile gari la toy limetiwa funguo, na yote hii kwa uchu wa madaraka,=. Huwa hatulkii hata mara moja kupima, kutafakari, kuchunguza etc. It's very sickening!!!!!
   
 5. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mi huyo jamaa alishanichosha kitaaamboo hata kusikia habari zake najionea kero tu.
   
Loading...