Pretoria..

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
kwa siku chache kwa elimu za uzeeni... MMU tafazali kwa kubadilishana uzoefu wa maisha.!!
Wapeleka 'sembe' nawaheshimu ila hawahusiki na hili..!!
 
Sijakupata vyema, una maanisha wapeleka madawa aka 'sembe' hawahusiki na kitu gani huko pretoria? Maana kama ni 'sembe' ilikamatiwa O.Tambo Inter Airport, huko J'burg!
 
Siko J'berg...Niko pretoria... kwa siku chache.. naongeza maarifa ya kazi.. ningependa nikutane na mwana MMU kama yuko huku.. ila asijwe anajihusisha na kusukuma'sembe'.. ... Ki-usalama zaidi...!! Kwa amabo hawakunisoma mapema... kumradhi..!!
 
Mi ndiyo yule niliyekimbia na mabegi 3 ya 'sembe', uko mtaa gani pretoria tukutane?
 
sa tungejuaje kama uko huko!
siku nyingine uwe unaongezeamo na story!
jinsi nilivyoopoa kimwana pretoria!
angalau na sie tupate cha kusimulia bana!
sa we unafikr sredi likifutwa mi namuhadithiaje King'asti kuwa kulikuwa na sredi hii!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom