Pressure za kuoa na umri

Relax. Its not a matter of life and death. Any step in the wrong direction could land u the wrong woman. Start dating.
 
And marriage is not for everyone.

So some folks just need to get in touch with their inner-self and realize that.
 
kwa hiyo uli delete kabisa sehemu ya mapenzi kwenye medula yako? ki ukweli wengi tumepitia hayo cha msingi usitake umpate mtu ambae exactly ata meet expectations zako binadamu tupo tofauti awe wa kuletewa (kama nguo )awe wa kutafuta mwenyewe wote wanaweza kukufaa.
 
Hapo nilipo bold ni kweli mtupuu...!!
 
Njoo tz, utawazoa kwa sifa unazohitaji tena magraduate. USA jina kubwa wacha kabisa.
 
Niliandika hii miaka zaidi ya miwili Mungu kanisaidia nimekutana na mdada mzuri na nina harusi mwezi ujao. Kila mtu ana muda wake na huwezi kuwa too smart kwenye mambo ya Kimungu inabidi usali na kufunga Mungu atakupa mtu wako Asanteni
 
For real? That's what's up!

Congratulations are in order!
 
tafuta binti was kuia wewe mwenyewe na si MTU mwingine, kuna njia nyingi za kumpata wasikukurupushe
 
Niliandika hii miaka zaidi ya miwili Mungu kanisaidia nimekutana na mdada mzuri na nina harusi mwezi ujao. Kila mtu ana muda wake na huwezi kuwa too smart kwenye mambo ya Kimungu inabidi usali na kufunga Mungu atakupa mtu wako Asanteni
Hongera sana mkuu...all the best!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…