Bonyez content ya uzi, utaona option ya moderate , unaweza futa au ku edit. Karibu Pm nikuelekeze vitu vya msingiSamahani nisadie jinsi ya kufuta uzi hizo picha za Kombat nimeziweka kwa bahati mbaya
Pole Mkuu... Kweli unapressure.. umejisahau ukatupia na za gwanda kabisa.. anyway ingia sehem ya Edit then unamaliza zoezi..Samahani nisadie jinsi ya kufuta uzi hizo picha za Kombat nimeziweka kwa bahati mbaya
Thanks for this great adviceInaelekea mkuu kila ukiitwa kwenye masailiano unakuwa na wasiwasi sana, na hiki ndicho kinapelekea preassure yako kusomeka juu kila mara uwapo kwenye usaili na mara uwapo nyumbani hali hurejea kuwa normal, hiyo kitu wewe mwenyewe ndiye unatakiwa kuidhibiti.
Relax mkuu hakuna jipya chini ya jua.
Ahsante kwa ushauri mzurii mimi pressure yangu huwa ina range 125/84 mara kwa mara hapo sijui imekaaje hiyo?Pressure ya mwili mara nyingi hubadilika kulingana na situation uliyopo. Inaonekana wewe ukiitwa kwenye usaili au kuonana na daktari huwa unaingiwa na hofu inayofanya pressure yako kuwa juu kuliko kawaida. Kwa muono wangu mtu anahesabika kuwa na pressure ya juu ( hypertension) endapo pressure yake ni zaidi ya 145/90 kwa muda mrefu bila kurudi katika hali ya kawaida ( less or equal to 120/80). Kwa hiyo kwa uzoefu wangu huna pressure na huna sababu ya kujipa stress! Relax, fanya mazoezi na kula balanced diet
Hiyo bado ipo kwenye normal range Ila jitahidi isizidi 120/80. Fanya mazoezi, kula mlo kamili na kupunguza chumvi kidogo kwenye chakulaAhsante kwa ushauri mzurii mimi pressure yangu huwa ina range 125/84 mara kwa mara hapo sijui imekaaje hiyo?
Lakini kikubwa kuliko yote,ondoa hofu, hiyo hofu ndiyo itakuletea ugonjwa halisi, pigana na hofu hiyo ndio adui yako wa kwanza kabisa.Hiyo bado ipo kwenye normal range Ila jitahidi isizidi 120/80. Fanya mazoezi, kula mlo kamili na kupunguza chumvi kidogo kwenye chakula