Press Under politics!!!!

Press Under politics!!!!

Joined
May 25, 2015
Posts
31
Reaction score
3
watanzani tunasumbua vichwa kushangaa kwann vyombo vya habari vimegeuka vyombo vya kampeni za kisiasa hambapo vinaponda huku nakutetea huku, Jamani ebu sisi kama watu tunaotaka mabadiliko tusiumize vichwa kwa hilo bali tu-stick pale tunapozani ni correct maana vyombo hivi ni miradi yao tena fedha zetu za kodi kupitia mifuko yao ndo inaviendesha hivyo nilazima vifuate matakwa yao POLENI WAFANYAKAZI WA STAR TV MAANA NAJUA SIO WOTE NI SISIEM ILA MLICHOFANYA NI AGIZO TOKA KWA WALIO JUU YATOSI ZENU
 
Back
Top Bottom