Press conference ya UKAWA imeishia wapi?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,167
Reaction score
162,603
Leo tulitarjia kupata taarifa kutoka kwa viongozi wa UKAWA juu ya mkutano wao na Raisi Kikwete.Mkutano huo ulitarajiwa kufanyika leo saa 6:30 mchana.

Mh.Mbowe alidokeza msimamo mkali wa kupinga kuendelea kwa bunge huko Dodoma kama msimamo wao na ikibidi wananchi tuingie mabarabani na alisisitiza kuwa sasa tumechoka ila akaahidi taarifa kamili ingetolewa leo mchana.Mh.Mbowe alitoa kauli hiyo katika ufunguzi wa mkutano wa uchaguzi wa BAVICHA.Sasa tuna hamu ya kupata habari kamili.

Hata hivyo, mbona kimya na hamna taarifa yoyote iliyotolewa.Kama ipo naomba mtujuze na wengine.
 
Leo tulitarjia kupata taarifa kutoka kwa viongozi wa UKAWA juu ya mkutano wao na Raisi Kikwete.Mkutano huo ulitarajiwa kufanyika leo saa 6:30 mchana.

Sasa mbona kimya na hamna taarifa yoyote iliyotolewa.Kama ipo naomba mtujuze na wengine.

tushamaliza toka jana ww cjui ulikua ....
 
Bado anasisitiza..huenda wakuu mngemkumbusha hilo tamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…