Ukweli ni kuwa watanzania wengi wanakiu ya kufanya mabadilko ya kweli na si kubadili walaji(wezi) maana katika mikoa mitatu ambayo nimepita kwa maana ya Kigoma ,Tabora na Morogoro, Kila kona mjadala ni ACT , watu wameipokea kwa matumaini makubwa sana,watu wanaiunga mkono hasa vijana na wanawake,
mihimu ACT msitufanyie kama tuliyofanyiwa na vyama vilivyotangulia na kufa baada ya kukiuka misingi yake.
binafsi nimehamia ACT lkn kama hakutakuwa na demokrasia ya kweli,tutawaacha mfe kama tulivyoiacha chadema.