Press conference ya ACT-Tanzania

duanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
16,428
Reaction score
225
alliance for change and transparency (act tanzania )
mabadiliko na uwazi

 
Karibu Tz chama cha mabadiliko na uwazi wa wasaliti, mmeingia na mguu mbaya bada ya jaribio lenu kuibomoa CHADEMA kufa kibudu, wa TZ tunautambua usaliti na ULAFI wenu, Mmekuja kuvuruga upinzan na mabadiliko ya kwel na hamtaweza!!
 
Huu utitiri wa vyama vya upinzani ni wala haujengi kabisa!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Mmeshaanza kutokwa na povu ehhh! na bado hichi chama ndio mkombozi wa mtanzania.
 
Karibu ACT tunataka siasa za safi bila fujo wala maandamano njooeni mtuonyeshe nini maana ya demokrasia
 
Hiyo nafasi ya uwenyekiti unakaimu tuu au ni ya kudumu maana Zitto akija ataitaka kwa nguvu
 
Chama kimeanzishwa kwa lengo maalumu la kinafiki na la mda mfupi eti kushindana na CDM,hakina vision wala mission mbali ya kwamba wanadai wana kitabu chenye maandishi kwa mujibu wao wanaita katiba lakini ni maigizo tu,tambo nyingi na misifa kibao

CCM kaongeza mke mwingine sasa sijuhi wataishije hawa na bwana mmoja
 
nimeipenda hii "kila mwanachama anatakiwa atambue kila kazi ya chama inatakiwa kuwa shirikishi na ya uwazi", najiuliza hivi hawa kwanini hawakufanya usaliti wao kwa uwazi na shirikishi?
 
SURVIVAL OF THE WILD~BEAST IN THE MOUTH OF CROCODILE We'l never never join there [HONGERENI WAMANYEMA] CDM SHALL NEVER BROKE!OR DEVIDED
 
SURVIVAL OF THE WILD~BEAST IN THE MOUTH OF CROCODILE We'l never never join there [HONGERENI WAMANYEMA] CDM SHALL NEVER BROKE!OR DEVIDED

njoo ccm uombewe, umeathirika na maji ya bendera nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…