Hapo kwenye muda mkuu ndio palinitatiza si unajua sisi huku Kilindi saa hizi inakaribia kabisa saa 4 asubuhi nikajua nimeshapitwaa...! Ahsanteni kwa taarifa ila msisahau muda huo ukifika mumwambie Yericko awahi kama alivyowahi Mahakamani
Usisahau kutubu dhambiDuh. Bado niko kanisani, ndiyo kwanza padri anajiandaa kusoma injili.
Mtajua wenyewe magamba....sie tunaweka ant-virus tu ndani ya cdm...
Niko hapa Airport mwanza nasubiri kubod naamini nitawahi hcho kikao pia nihudhurie kesi hyo kesho.
Hii ya Mabere hata mimi siwezi amini maana huyu jamaa ni mwanamageuzi hata kabla hayajawa rasmi hapa TZ. Hawezi kukubaluana na ujinga wa kina Zitto tamaaHii ya Marando inasemekana ni uzushi, Tumaini Makene ametoa taarifa kupitia wall yake ya fesibuku.
Fotoa jipicha nejo unavike malove hapa! CDM imeingiliwa hadi na wamakonde.......Wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
Saa nne mkuu,makamanda wanaweka mambo sawa hapa ukumbini mambo ya umeme yasilete hitilafu,naskia kuna vituo vya tv watatusha live....
Muda ni baada ya misa ya kwanza kuishaKaribu chikandanga nnung'unwangu nangu nguve kwenu kunewala! Ulyamba au matamba na likavenga ngunishiba!
Sasa mmeweka muda maana tangazo la Tumaini halikuwa na muda! Kumbe kukosoa kwetu kumesaidia
amekuuliza nani kama upo wapi?
Karibu chikandanga nnung'unwangu nangu nguve kwenu kunewala! Ulyamba au matamba na likavenga ngunishiba!
Sasa mmeweka muda maana tangazo la Tumaini halikuwa na muda! Kumbe kukosoa kwetu kumesaidia
Dr mkumbo na mwigamba wamenyang'anywa uanachama na marando amerudisha kadi
Kitila kafukuzwa chadema na kule anakofundisha nako kavuliwa ukuu wa idara...hahaaa pole mwalimu wangu