Presidential Materials za CHADEMA

Presidential Materials za CHADEMA

duh! niongeze na mimi hapo..kwani shida si kuweza kupiga blah blah! kuna watu hapo wakiwa maraisi nahamia sudan a kusini siku io io!

kama umeweza kuishi TZ chini ya utawala katili wa ccm na mabomu yake ya kutolea utumbo wa Waandishi Habari, utashindwaje kuishi chini ya uongozi wa amani,upendo na mshikamano iwapo wewe siyo fisadi?.
 
Kama cdm inajivunia vijana wenye fikra hizi!nchi hii tunaipeleka pabaya sana,katika uliowataja wenye sifa za URAIS hawazidi wawili,wengne majimbo tu yamewashinda 2015 tunawasubiri wawe wapambe wa watu tu
 
Wafuatao ni Watu wenye sifa na hadhi za Kimataifa za kuwa Marais wa nchi ya TANZANIA kulingana na muda:- 1.Dr.W.P.SLAA 2.F.A.MBOWE 3.Prof.A.SAFARI 4.S.A.ARFI 5.M.N.MARANDO 6.S.I.MOHAMED 7.T.A.M.LISSU 8.Z.Z.KABWE 9.G.J.LEMA 10.J.J.MNYIKA 11.E.D.WENJE 11.H.M.YOUSUF 12.H.J.MDEE 13.E.WASSIRA 14.M.MSABAHA na wengine wengi wanaozidi kuandaliwa na CHADEMA nchi nzima. Kwa safu hiyo hapo juu, TANZANIA inaweza kuongozwa na marais toka CHADEMA kwa miaka 70 mfululizo hata kama wataongoza miaka mitano mitano kila Rais. Yaani toka mwaka 2015 hadi 2085 kama Mungu akipenda nchi itaongozwa kizalendo na CHADEMA miaka yote hiyo. Safu kama hiyo ipo pia kwa ngazi zote za chini, yaani kila jimbo la uchaguzi, kila kata/shehiya na kila kijiji/mtaa kwa sasa nchini. Hivyo jukumu kubwa lililopo mbele kwa sasa ni kuwaandaa Wananchi kisaikolojia kuupokea uongozi mpya wa Tanzania ifikapo Novemba 2015 baada ya wao kupiga kura na kuufutilia mbali utawala wa kale. Tafiti zinaonyesha wazi kuwa watanzania wengi vijijini wanataka mabadiliko, hivyo iwapo haki itatendeka kwa ccm kuacha kuhonga wapiga kura na kununua shahada zao, asilimia zaidi ya 80% ya majimbo yataenda CDM 2015 na kumwezesha rais mpya kutekeleza vema ilani na sera za chama chake kwa manufaa ya wote. MODS MSIUNGANISHE UZI HUU NA MWINGINE ILI WATU WAWEZE KUUJUA UKWELI HUU UNAOPOTOSHWA MASAA 24 NA MAKADA WA CCM WALIOKOSA UZALENDO NA KUENDEKEZA MAKUNDI NA FEDHA CHAFU. Karibuni kwa mjadala.
Leo huna kipindi nini dogo! Tests za mid term karibu zitaanza, nakushauri uanze kujisomea sasa.
 
Kama cdm inajivunia vijana wenye fikra hizi!nchi hii tunaipeleka pabaya sana,katika uliowataja wenye sifa za URAIS hawazidi wawili,wengne majimbo tu yamewashinda 2015 tunawasubiri wawe wapambe wa watu tu
 
Kama cdm inajivunia vijana wenye fikra hizi!nchi hii tunaipeleka pabaya sana,katika uliowataja wenye sifa za URAIS hawazidi wawili,wengne majimbo tu yamewashinda 2015 tunawasubiri wawe wapambe wa watu tu

JK alilifanyia nini cha maana jimbo la Chalinze enzi za Ubunge wake?.
 
Acha kufuru wewe,
E.Wassira anatofauti gani na Hilary Clinton, Sarah Palin au Helen
J.Surleef wa Liberia?.

akili za pombe hizo nimekusamehe bure.yaani E.Wasira unamlinganisha na Hilary Clinton?au unaongelea jinsia kama hao mazoba wenzio waliotuwekea supika bomu kwa kigezo cha -ke?
 
Ni kawaida ya watu kama wewe kubisha, ila hao ndio presidaa materials wa tz.
 
Sio mbaya sana hiyo list inaweza ikatokelezea kwenye urais ila kwa ccm kutoka madarakani itabidi list isubiri miaka kumi au kumi na tano ndo vifaa hivyo viote kuingia ulingoni ambapo wkt huo tutawaongelea zaidi wachache kati yao kama vile Zitto, Halima, Mnyika na Tundu Lissu. Ingawa tena wakati huo kutakuwa kumeibuka nondo mpya huko ccm ambazo itakuwa shida kukabiliana nazo kama Nape Nnauye, January Makamba, na Dr. Hussein Mwinyi
 
Miaka 15 ijayo utakuwa ni umri wa ccm ikiwa akhera au jehanam
 
Mie woote naweza kuwaamini, lkn Z. Kabwe simuamini kabisa!!!
Anakaunafiki fulani hivi kama ka cha Nazi!!

Ubest na UWT, Rostam, kuutamani mno uraisi kuliko hata kukijenga chama ni kati vichefuchefu vyake!
 
mImi nasema tuandae marais wa miaka kumi na tano ijayo masuala ya vyama sio msingi mkubwa sana la maana kwetu tupate rais wa ukweli hii miaka ya hapa karibukaribu tuwaachie hao panzi wamalize vita zao za ubinafsi mbele waishilie mbali. Kwa siku zijazo mm sioni uhasama wa kufanya vijana niliowataja hapo juu wasitawale pamoja kwa kuwa hawa wanakuja na fikra mpya na wanasimama na yale wanayoyaamini ambayo kwa maoni yangu hayatofautiani sana
 
nashangaa,eti godbless lema na mdee nao ni presidential material.kazi kweli hapa

Kwani wanamapungufu gani?. CVs za maRais kama Zuma, Kabila, Michael Satta n.k zinatofautianaje na makamanda hawa?. PANUKA KIFIKRA MKUU
 
Back
Top Bottom