Presidential Materials za CHADEMA

Presidential Materials za CHADEMA

Sipendi Ubepari

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2012
Posts
249
Reaction score
40
Wafuatao ni Watu wenye sifa na hadhi za Kimataifa za kuwa Marais wa nchi ya TANZANIA kulingana na muda:- 1.Dr.W.P.SLAA 2.F.A.MBOWE 3.Prof.A.SAFARI 4.S.A.ARFI 5.M.N.MARANDO 6.S.I.MOHAMED 7.T.A.M.LISSU 8.Z.Z.KABWE 9.G.J.LEMA 10.J.J.MNYIKA 11.E.D.WENJE 11.H.M.YOUSUF 12.H.J.MDEE 13.E.WASSIRA 14.M.MSABAHA na wengine wengi wanaozidi kuandaliwa na CHADEMA nchi nzima. Kwa safu hiyo hapo juu, TANZANIA inaweza kuongozwa na marais toka CHADEMA kwa miaka 70 mfululizo hata kama wataongoza miaka mitano mitano kila Rais. Yaani toka mwaka 2015 hadi 2085 kama Mungu akipenda nchi itaongozwa kizalendo na CHADEMA miaka yote hiyo. Safu kama hiyo ipo pia kwa ngazi zote za chini, yaani kila jimbo la uchaguzi, kila kata/shehiya na kila kijiji/mtaa kwa sasa nchini. Hivyo jukumu kubwa lililopo mbele kwa sasa ni kuwaandaa Wananchi kisaikolojia kuupokea uongozi mpya wa Tanzania ifikapo Novemba 2015 baada ya wao kupiga kura na kuufutilia mbali utawala wa kale. Tafiti zinaonyesha wazi kuwa watanzania wengi vijijini wanataka mabadiliko, hivyo iwapo haki itatendeka kwa ccm kuacha kuhonga wapiga kura na kununua shahada zao, asilimia zaidi ya 80% ya majimbo yataenda CDM 2015 na kumwezesha rais mpya kutekeleza vema ilani na sera za chama chake kwa manufaa ya wote. MODS MSIUNGANISHE UZI HUU NA MWINGINE ILI WATU WAWEZE KUUJUA UKWELI HUU UNAOPOTOSHWA MASAA 24 NA MAKADA WA CCM WALIOKOSA UZALENDO NA KUENDEKEZA MAKUNDI NA FEDHA CHAFU. Karibuni kwa mjadala.
 
Mmmh nina tatizo na baadhi ya watu hapo.... Mpaka Wenje awe Rais, Tanzania tutakua tumeishiwa!!
 
Wafuatao ni Watu
wenye sifa na hadhi za Kimataifa za kuwa Marais wa nchi ya TANZANIA
kulingana na muda:- 1.Dr.W.P.SLAA 2.F.A.MBOWE 3.Prof.A.SAFARI
4.S.A.ARFI 5.M.N.MARANDO 6.S.I.MOHAMED 7.T.A.M.LISSU 8.Z.Z.KABWE
9.G.J.LEMA 10.J.J.MNYIKA 11.E.D.WENJE 11.H.M.YOUSUF 12.H.J.MDEE
13.E.WASSIRA 14.M.MSABAHA na wengine wengi wanaozidi kuandaliwa na
CHADEMA nchi nzima. Kwa safu hiyo hapo juu, TANZANIA inaweza kuongozwa
na marais toka CHADEMA kwa miaka 70 mfululizo hata kama wataongoza miaka
mitano mitano kila Rais. Yaani toka mwaka 2015 hadi 2085 kama Mungu
akipenda nchi itaongozwa kizalendo na CHADEMA miaka yote hiyo. Safu kama
hiyo ipo pia kwa ngazi zote za chini, yaani kila jimbo la uchaguzi,
kila kata/shehiya na kila kijiji/mtaa kwa sasa nchini. Hivyo jukumu
kubwa lililopo mbele kwa sasa ni kuwaandaa Wananchi kisaikolojia
kuupokea uongozi mpya wa Tanzania ifikapo Novemba 2015 baada ya wao
kupiga kura na kuufutilia mbali utawala wa kale. Tafiti zinaonyesha wazi
kuwa watanzania wengi vijijini wanataka mabadiliko, hivyo iwapo haki
itatendeka kwa ccm kuacha kuhonga wapiga kura na kununua shahada zao,
asilimia zaidi ya 80% ya majimbo yataenda CDM 2015 na kumwezesha rais
mpya kutekeleza vema ilani na sera za chama chake kwa manufaa ya wote.
MODS MSIUNGANISHE UZI HUU NA MWINGINE ILI WATU WAWEZE KUUJUA UKWELI HUU
UNAOPOTOSHWA MASAA 24 NA MAKADA WA CCM WALIOKOSA UZALENDO NA KUENDEKEZA
MAKUNDI NA FEDHA CHAFU. Karibuni kwa mjadala.

wenje,lema,e.wasira etc ni prezdensho material?hakyaMungu bora nchi tugawane tu kila mtu afe na chake!!!!!!!
 
Acha kufuru wewe, E.Wassira anatofauti gani na Hilary Clinton, Sarah Palin au Helen J.Surleef wa Liberia?.
wenje,lema,e.wasira etc ni prezdensho material?hakyaMungu bora nchi tugawane tu kila mtu afe na chake!!!!!!!
 
Wafuatao ni Watu wenye sifa na hadhi za Kimataifa za kuwa Marais wa nchi ya TANZANIA kulingana na muda:- 1.Dr.W.P.SLAA 2.F.A.MBOWE 3.Prof.A.SAFARI 4.S.A.ARFI 5.M.N.MARANDO 6.S.I.MOHAMED 7.T.A.M.LISSU 8.Z.Z.KABWE 9.G.J.LEMA 10.J.J.MNYIKA 11.E.D.WENJE 11.H.M.YOUSUF 12.H.J.MDEE 13.E.WASSIRA 14.M.MSABAHA na wengine wengi wanaozidi kuandaliwa na CHADEMA nchi nzima. Kwa safu hiyo hapo juu, TANZANIA inaweza kuongozwa na marais toka CHADEMA kwa miaka 70 mfululizo hata kama wataongoza miaka mitano mitano kila Rais. Yaani toka mwaka 2015 hadi 2085 kama Mungu akipenda nchi itaongozwa kizalendo na CHADEMA miaka yote hiyo. Safu kama hiyo ipo pia kwa ngazi zote za chini, yaani kila jimbo la uchaguzi, kila kata/shehiya na kila kijiji/mtaa kwa sasa nchini. Hivyo jukumu kubwa lililopo mbele kwa sasa ni kuwaandaa Wananchi kisaikolojia kuupokea uongozi mpya wa Tanzania ifikapo Novemba 2015 baada ya wao kupiga kura na kuufutilia mbali utawala wa kale. Tafiti zinaonyesha wazi kuwa watanzania wengi vijijini wanataka mabadiliko, hivyo iwapo haki itatendeka kwa ccm kuacha kuhonga wapiga kura na kununua shahada zao, asilimia zaidi ya 80% ya majimbo yataenda CDM 2015 na kumwezesha rais mpya kutekeleza vema ilani na sera za chama chake kwa manufaa ya wote. MODS MSIUNGANISHE UZI HUU NA MWINGINE ILI WATU WAWEZE KUUJUA UKWELI HUU UNAOPOTOSHWA MASAA 24 NA MAKADA WA CCM WALIOKOSA UZALENDO NA KUENDEKEZA MAKUNDI NA FEDHA CHAFU. Karibuni kwa mjadala.
Hivi umepitia wapi leo? MBOWE, LEMA, WENJE, LISSU, MARANDO? kwa nini hawa umewaacha? NYERERE, SUGU, ABWAO, OWENYA, KILWELU, NDESAMBURO, teh teh teh, Watanzania kweli tumekwisha, tumuombe tu Mungu.
 
Acha kufuru wewe, E.Wassira anatofauti gani na Hilary Clinton, Sarah Palin au Helen J.Surleef wa Liberia?.

matatizo ya kuwaita watoto majina ya watu maarufu ulimwenguni, mtu akiwa mjinga atafikiri unamaanisha Hilari clinton wa Marekani, kumbe yule mnenguaji wa Twanga pepeta. Haya wataje wanenguaji wote wa Kaka yangu AIKAELI.
 
Watu wanapenda kubeza vya wenzao hata kama ni vizuri. Ester Wasira anasifa kubwa kuliko A.Makinda, Wenje ni bora kuliko Job Ndugai au Mabumba.
Acha kufuru wewe, E.Wassira anatofauti gani na Hilary Clinton, Sarah Palin au Helen J.Surleef wa Liberia?.
 
Kama humjui Godbless Lema kamuulize Pinda atakusimulia jinsi jamaa alivyo smart kwenye People's centred leadership.

Si yule aliyekuwa mwizi wa magari na kupeleka garage bubu ya mzee MTEI pale Arusha. Lakini tunapoelekea tunaweza kuongozwa na watu kama akina LEMA. Ee Mungu epusha balaa hili.
 
Inamaanishwa kuwa E.Wassira hana tofauti na Waziri wa Mambo ya nje wa USA chini ya uongozi wa Obama.
matatizo ya kuwaita watoto majina ya watu maarufu ulimwenguni, mtu akiwa mjinga atafikiri unamaanisha Hilari clinton wa Marekani, kumbe yule mnenguaji wa Twanga pepeta. Haya wataje wanenguaji wote wa Kaka yangu AIKAELI.
 
Mmmh nina tatizo na baadhi ya watu hapo.... Mpaka Wenje awe Rais, Tanzania tutakua tumeishiwa!!

MARANDO, WENYE, LEMA, NA MBOWE mtihani wao mdogo tu unawaengua kwenye kinyang'anyiro cha urais, waulize tu nchi yao inaitwaje na majibu yao ndo haya; mara NJI YANGU, wengine utasikia "TANSANIA" hakiyamungu mmoja wao akichukua fomu nami nakwenda kama mgombea binafsi, naamini katiba mpya itaruhusu.
 
Mbona Wenje poa tu. Ana msimamo na anasimamia anachokiamini chini ya katiba ya nchi na chama

Msubirini 2015, kama mtamsikia tena hapa NYAMAGANA. Na hilo analijua yeye, atabaki kuwa mpambe wa MAMA MAUGO kama ilivyo sasa.
 
MARANDO, WENYE, LEMA, NA MBOWE mtihani wao mdogo tu unawaengua kwenye kinyang'anyiro cha urais, waulize tu nchi yao inaitwaje na majibu yao ndo haya; mara NJI YANGU, wengine utasikia "TANSANIA" hakiyamungu mmoja wao akichukua fomu nami nakwenda kama mgombea binafsi, naamini katiba mpya itaruhusu.

Jitahidi kupevuka kifikra mkuu, you are still too low in reasoning
 
Huyu ni mwanamke bora kabisa kwa sasa kisiasa kwa wale wasio wabunge. Ni kweli pia anamzidi hata Bi Kiroboto wa mjengoni.
Acha kufuru wewe, E.Wassira anatofauti gani na Hilary Clinton, Sarah Palin au Helen J.Surleef wa Liberia?.
 
duh! niongeze na mimi hapo..kwani shida si kuweza kupiga blah blah! kuna watu hapo wakiwa maraisi nahamia sudan a kusini siku io io!
 
Back
Top Bottom